Safe Sisters mwongozo wa Kiswahili

Tumeandika kitabu hiki kiweze kuwasaidia wasichana waweze kusoma juu ya matatizo ambayo wanaweza kukutana nayo katika wavuti (kama picha kuvuja au kuibiwa, virusi, na ulaghai) jinsi tunavyoweza kufanya maamuzi sahihi kila siku ili kujilinda wenyewe na kufanya wavuti iwe mahali salama kwa ajili yetu wenyewe, familia zetu, na wanawake wote. Lengo letu ni kufanya usalama wa kidijitali kutokuwa na ugumu na kuwa na uhalisia zaidi kwa watumiaji na kuwahamashisha wanawake na wasichana wote kusimamia kwa ufasaha usalama wao wa mtandaoni. Tunategemea kitabu hiki kitasaidia wasomaji kuona kwamba njia nyingi nzuri za kujilinda mtandaoni ni zile njia bora ambazo tayari tumekuwa tukizitumia tunapokuwa nje ya mtandao.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Scroll to top